AsantePole sana
Hawa nikukaa mbali naoChawa
Upo sahihiKubali kazi yenye ujira mdogo, utengeneze jina; baada ya hapo pesa zitakufuata zenyewe kutokana na ubora wa kazi yako.
Lakini kama kazi yako haina ubora, endelea kuishi kwa hofu, huku ukipambana kuongeza vyeti visivyokuwa na uhalisia katika uzalishaji halisi.
Nakazia hapaKubali kazi yenye ujira mdogo, utengeneze jina; baada ya hapo pesa zitakufuata zenyewe kutokana na ubora wa kazi yako.
Lakini kama kazi yako haina ubora, endelea kuishi kwa hofu, huku ukipambana kuongeza vyeti visivyokuwa na uhalisia katika uzalishaji halisi.
Kwani mkataba huwa unafanya kazi gani kama uta hustle kwenye vitu ambavyo vinatakiwa viwe kwenye mkataba wa kazi( written and approved employement contract)? Au huwa unapewa kazi kwa maneno ?Nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti kwenye sekta binafsi (Kampuni).
Nimekutana na mengi kwenye makampuni. Kwa wanaitafuta ajira/ mliopo kazini kuwa makini na yafuatayo;
Ongeza mengine.
- Kampuni nyingi zisizotoa mikataba ya kazi nyingi ni wadhurumaji.
- Kuwa makini na kampuni changa hasa za waswahili. Utaishia kupigwa kitu kizito.
- Husikubali kupumbazwa kwa kupewa cheo kinachokufanya kuwa kama mmojawapo wa wamiliki wa kampuni wakati hufaidiki kimaslahi. Utaishia kutumika.
- Pigania haki zako (kazini) husikubali maneno/ahadi tamu za mwajiri wako zisizo-tekelezeka.
Mwanzoni wakati wa harakati za utafutaji ilishanitokea.Au huwa unapewa kazi kwa maneno ?
DUh! Pole sana mkuu hawa watu huwa wanangalia na mental state yako hapo hauna hata 10 unahitaji kazi vibaya mno ndipo wenye roho mbaya wanaangalia pa kukupiga .Mwanzoni wakati wa harakati za utafutaji ilishanitokea.
Na wanapenda kusoma hatari......ukiona jitihada wanazo kuongeza vyeo tu. Kazi na ufanisi zeroLakini kama kazi yako haina ubora, endelea kuishi kwa hofu, huku ukipambana kuongeza vyeti visivyokuwa na uhalisia katika uzalishaji halisi.
Asante mkuu.DUh! Pole sana mkuu hawa watu huwa wanangalia na mental state yako hapo hauna hata 10 unahitaji kazi vibaya mno ndipo wenye roho mbaya wanaangalia pa kukupiga .
Nakazia hapaMuda wowote jiandae kufukuzwa!
Tofauti na hivyo irakubidi uishi kichawa zaidi kwa masilahi ya boss..
Kazi ya kulipwa mwisho wa mwezi ni usenge sana bora ya kila saa hapo ufanisi wa kazi utaongezeka