Wadau, mnipe pole sana nmepata mateso makubwa leo baada ya vyakula vya kihindi

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,072
Reaction score
2,384
Nipo India week ya pili sasa. Jana nimekaribishwa chakula chao kinaitwa
Andra Chilli Chicken. Kina pilipili hatari na chapati nyepesi hivi nazo unachovya kwenye sauce ya pilipili. Nlipenda nikala maana mi ni mlaji sana wa pilipili mbuzi nikiwa Dar.

Sasa issue ilikuja kwenye kupata choo. Kwa kweli siwezi sahau. Two hours nimekaa kwenye choo. Napambana na hali yangu jasho la nitoka. Choo kigumu. Kigumu halafu kigumu tena. Kisha kikavu kinyama. Yaani choo kinauma kutoka. Njia imekuwa ndogo. Na kimekuwa balaa.

Nampigia simu mwenyeji wangu hapatikani. Nipo hotelini napiga mapokezi yeye haelewi my english nami sielewi matamshi yake mabovu kabisa. Nlitaka nipate dawa za kulainisha choo. Sijawahi jisaidia kwa mateso namna hiii. Nikawaza ngekuwa kijijini Gezaulole na vile vyoo vya shimo ngeweza kweli kuchuchumaa masaa mawili?

Maana unakamua mzigo utoke mpaka unaishiwa pumzi. Unatulia kwanza kama dk 4 unakamua tena unasogea kama robo milimeta.halafu unarudi tena ndani. Nikahisi hawa jamaa wameniwekea dawa labda.

Yaani nlikuwa nawaza kuchakata mtoto wa kihindi hata hamu sina. Nipo hoi... Nmetoka msalani na kujitupa kitandani.... Hoiiiiiii. Choka mbaya.

Chumba chote hakifai kwa harufu. Sitaki tena kula mavyakula yao ya pilipili. Nakunywa maji tu nilale. Mkiwa ugenini msijaribu jaribu msosi ndugu zanguni. Ni mateso makubwa.siwezi sahau.
 
Acha tu kuna bosi mhindi nikiwa kwenye gari yake alijamba, kilivyomponyoka kupigwa na ile harufu nilipatwa na kizunguzungu haijawahi tokea
Screenshot_20250111_154107_Gallery.jpg
 
Nipo India week ya pili sasa. Jana nimekaribishwa chakula chao kinaitwa
Andra Chilli Chicken. Kina pilipili hatari na chapati nyepesi hivi nazo unachovya kwenye sauce ya pilipili. Nlipenda nikala maana mi ni mlaji sana wa pilipili mbuzi nikiwa Dar.

Sasa issue ilikuja kwenye kupata choo. Kwa kweli siwezi sahau. Two hours nimekaa kwenye choo. Napambana na hali yangu jasho la nitoka. Choo kigumu. Kigumu halafu kigumu tena. Kisha kikavu kinyama. Yaani choo kinauma kutoka. Njia imekuwa ndogo. Na kimekuwa balaa.

Nampigia simu mwenyeji wangu hapatikani. Nipo hotelini napiga mapokezi yeye haelewi my english nami sielewi matamshi yake mabovu kabisa. Nlitaka nipate dawa za kulainisha choo. Sijawahi jisaidia kwa mateso namna hiii. Nikawaza ngekuwa kijijini Gezaulole na vile vyoo vya shimo ngeweza kweli kuchuchumaa masaa mawili?

Maana unakamua mzigo utoke mpaka unaishiwa pumzi. Unatulia kwanza kama dk 4 unakamua tena unasogea kama robo milimeta.halafu unarudi tena ndani. Nikahisi hawa jamaa wameniwekea dawa labda.

Yaani nlikuwa nawaza kuchakata mtoto wa kihindi hata hamu sina. Nipo hoi... Nmetoka msalani na kujitupa kitandani.... Hoiiiiiii. Choka mbaya.

Chumba chote hakifai kwa harufu. Sitaki tena kula mavyakula yao ya pilipili. Nakunywa maji tu nilale. Mkiwa ugenini msijaribu jaribu msosi ndugu zanguni. Ni mateso makubwa.siwezi sahau.
Pole kula sana mapapai na maparachichi pia!
 
Back
Top Bottom