Poleni kwa majukumu ya kila siku. Nilikuwa nafanya kazi katika shirika moja binafsi kwa mkataba wa miaka miwili na ktk mkataba huo ili uresign unatakiwa utoe notice ya miezi 3 au uache/ ulipe mshahara wa mwezi mmoja. sasa nimeandika notice ya mwez mmoja na wameniambia hawatanipa mshahara mwezi huu. swali langu je mchango wangu na Paye ya huu mwezi watapeleka kwenye mfuko wa jamii?