Mugishawilfred
New Member
- Mar 10, 2017
- 1
- 0
habari naitaji kujiunga na biashara za mtandaoni wadau kwa hapa tanzania naomba msaada wenu tafadhari ni makampuni gani naweza kufanya nayo kazi na namna gani ya kujiunga nayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara nzuri ya mtandao Ni Elnet Africa for more information check this number 0623976725habari naitaji kujiunga na biashara za mtandaoni wadau kwa hapa tanzania naomba msaada wenu tafadhari ni makampuni gani naweza kufanya nayo kazi na namna gani ya kujiunga nayo
Usijaribu hata kidogo, na wala usijaribi kuwapigia cm hao jamaa walio weka namba zao .Nina uzoefu nayo.habari naitaji kujiunga na biashara za mtandaoni wadau kwa hapa tanzania naomba msaada wenu tafadhari ni makampuni gani naweza kufanya nayo kazi na namna gani ya kujiunga nayo