Wadau,
Mimi nilihitimu kidato cha sita mwaka jana,sasa kabla sijafanya aplctns nikalipa hela TCU kwa M-pesa na ikaenda na TCU wakanitumia voucher. Baada ya kuanza kulipitia lile book la mwongozo,nikakuta kwamba categories za applicants zipo mbili,ya form six na foreign applicants ambao wanatakiwa kulipa benki na pia kuna category ya pili ambao watalipia kwa miamala ya simu. Jamani hii imekaaje,au mimi sijaielewa? Msaada wadau