Wadau msaada tafadhali!

Wadau msaada tafadhali!

Hiphop

Member
Joined
Jul 17, 2010
Posts
51
Reaction score
7
Habari zenu wadau?nimepata tatizo na laptop yangu,nimeiwasha asubuhi inakuja white screen bila chochote kuonekana,nimejaribu kuboot nifanye repair ya window ila command za kuboot ukibonyeza F12 au F4 haziji,hata setup ya F2 ambayo hutokea wakati wa kuwasha computer haitokei,nifanyeje wadau?
 
Itakuw virus wamefanya OS imecorupt! Tafuta live CD, (ultimate window CD au Obuntu) then i run uhamishe data zako zote za muhimu. kisha format na uweke OS nyingine. Thats my suggestion
 
kwa hapo tatizo haitakuwa OS,tatizo ni display yako itakuwa imeshakufa coz kama tatzo lngekuwa ni os vi2 kama bios menu n otherz vingeshow up on initial boot.
 
Back
Top Bottom