Wadau msaada wa gari nzuri ya kusafaria kutoka Tukuyu kwenda Sumbawanga

mkubhi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
2,216
Reaction score
3,319
Wadau husika na kichwa tajwa..... Naomba kusaidiwa ili niweze kupata wepesi wa safari hiyo!

Natanguliza shikrani!
 
Panda network transkim hawa jamaa wanajari muda sana ruchoro chenga Labda ubahatishe ule mkubwa
 
Wadau husika na kichwa tajwa..... Naomba kusaidiwa ili niweze kupata wepesi wa safari hiyo!

Natanguliza shikrani!
Na hapo sio tukuyu tu swanga tukuyu panda Costa mpaka nanenane then kipanya to stand mwisho ndo Mbeya to swanga


Karibu sana Nina dawa A kienyeji za kutosha na ticket za wasaf nauza tayar
 
Panda network transkim hawa jamaa wanajari muda sana ruchoro chenga Labda ubahatishe ule mkubwa
Nashukuru mkuu ngoja nikawatafute ofisi nichukue ticket!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…