Mshana Jr mi hapo kwenye working experience ya miaka 1-2 ndipo nachoka kabsaaa. Asa kwa cc fresh from University nafasi haituhusu!?VACANCY ANNOUNCEMENT:
*Translator* Chinese language preferred female
*Welder*
*Electrical Technician*
*Quality Controller*
*Hr Officer* Familiar with labour laws,&excel proficient
QUALIFICATION
-Diploma/Degree in related fields
-1-2years working experience
Interested candidates may send their CV to kedsrecruits@gmail.com before 17:00 hrs 11th June 2020. Or call 0621024241
Apply hivyo hivyo maana hamna kazi watasema hawahitaji uzoefu. Ni kujaribu tu mradi qualification unazo baadhiMshana Jr mi hapo kwenye working experience ya miaka 1-2 ndipo nachoka kabsaaa. Asa kwa cc fresh from University nafasi haituhusu!?
Mi nilikuwa naulizia. Je, naruhusiwa ku apply hata kama bado nipo chuo? Make nipo last semester naomba msaada Kama unafahamu lknApply hivyo hivyo maana hamna kazi watasema hawahitaji uzoefu.
Ni kujaribu tu mradi qualification unazo baadhi
Kwa kazi ambazo zinazotangazwa na zinataka uwe graduate inaweza kua ngumu kidogo maana watahitaji cheti. Ila unaweza kupata ukiomba direct toka baadhi ya ofisi wakikuelewa basi wanakupa mkataba au hata intern.Mi nilikuwa naulizia. Je, naruhusiwa ku apply hata kama bado nipo chuo? Make nipo last semester naomba msaada Kama unafahamu lkn
Asante kwa msaadaKwa kazi ambazo zinazotangazwa na zinataka uwe graduate inaweza kua ngumu kidogo maana watahitaji cheti. Ila unaweza kupata ukiomba direct toka baadhi ya ofisi wakikuelewa basi wanakupa mkataba au hata intern.
Wapo waliopata kazi wakiwa bado wanafunzi so jaribu pia.