Je,fedha za field ni sawa kwa wanafunzi wote wa vyuo vikuu mwaka huu? Au inaendana na asilimia uliyopata kutoka HESLB? Kwa mfano kuna watu wamepewa Tsh 2,400,000/= halafu boom na vitabu ni 2m,ada nayo 2m ukipiga math ni kuwa ana 10% kama hela za field ikitolewa kuzingatia asilimia za mkopo.
Wadau naomba mnieleweshe ktk hili kwa kuwa kuna watu wengi tu walipata 2.2m,2.3m.
na Mwenyenzi Mungu Awabariki.