Wadau Msishangae.

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Posts
10,955
Reaction score
4,656
Naskia ukiruka stage ni lazma utaipitia tena baadaye.
Mfano ulivyokuwa mtoto kama ulitoka hatua ya kukaa, ghafla ukaanza kusimama dede basi hata kama uzeeni ni lazma utakuja kutambaa tu.

Mimi sikujitambulisha siku ya kwanza nilipo join JF.
Ndio najitambulisha hivi.
 
Hahahahaha! Karibu Chumbani! au nako ushafika!

 
karibu sana Ndibalema,kwa kuwa u mwenyeji sasa kaa mbali na kile chama kikuu cha infiii
 

heeee heeee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…