Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
used kiongoziGari afrika kusini ni ghali kuliko Dubai na japani japo km zao ziko chini kidogo.
uUnataka mpya au used be specific
Kwani boda nyingi ndio nini kama vibali vimekaa sawa?[/QUOTE yani namaanisha boda k
Mkuu habari, kununua toyota hilux ya mwaka 2007 bei gani africa kusini na tra bongo sh.ngapi kodi? Kikokotozi cha tra hakionyeshi kw gari za africa kusinimodel ya mwaka gani mkuu katika hizo gari na uangalie kodi pia huko maana bei hazipishani sana ungeangalia za 2007 mpaka 2009 model ndio zake kidogo zimepoa..,
Hauko serious wewe. Sauzi hapo magari bei chee plus hautakiwi kulipia hela ya kusafirisha which is far way expensive, plus unaenda mwenyewe kuiangalia chuma na kuichukua chuma uloifanyia ukaguzi mwenyewe na kuielewa.Gari afrika kusini ni ghali kuliko Dubai na japani japo km zao ziko chini kidogo.
Kwani boda nyingi ndio nini kama vibali vimekaa sawa?
Ist ya 2004 ipo sokoni wakati SA mnadani gari ya 2004 mteja ndio anataja bei na ni Watanzania wachache wanaoweza kuendesha gari ya 2018 ya Japan wakati SA hata 2021 tunaendesha bei zao ni rafiki sana Japan wao wanaangalia soko linasemaje wakati SA wanaangalia Mwaka tuu likipitwa na muda halina soko tena..Agiza gari Japan au Dubai uepukane na Malonya ya SA
Gari za SA kikokoteo chao unapata vizuri kwa kuambatanisha na karatasi za Export and trade ambacho kitakufanya uwepo kwenye punguzo la kodi tofauti kubwa kwa sababu ya jumuiya ya SADC ila hiyo gari iwe imetengenezwa SA hilux karibu nyingi ni za SA made zina punguzo kubwa kutokana na model yake...Mkuu habari, kununua toyota hilux ya mwaka 2007 bei gani africa kusini na tra bongo sh.ngapi kodi? Kikokotozi cha tra hakionyeshi kw gari za africa kusini
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
2007 Hilux iwe double au single cabin na pia hilux zipo fupi chini na ndefu hapo hapo kwenye kila model za single..Mkuu habari, kununua toyota hilux ya mwaka 2007 bei gani africa kusini na tra bongo sh.ngapi kodi? Kikokotozi cha tra hakionyeshi kw gari za africa kusini
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Iwe double cabin na ndefu,2007 Hilux iwe double au single cabin na pia hilux zipo fupi chini na ndefu hapo hapo kwenye kila model za single..
Nimecheki hawa Autotrade Wana hilux nyingi sana zaidi ya 1800 wanauza , tena bei nafuu sana tofauti na hilax za japan,.nataka tuue Navara iko juu ya mawe tukachukue hilax za south, ntakutafuta Mkuu.Gari za SA kikokoteo chao unapata vizuri kwa kuambatanisha na karatasi za Export and trade ambacho kitakufanya uwepo kwenye punguzo la kodi tofauti kubwa kwa sababu ya jumuiya ya SADC ila hiyo gari iwe imetengenezwa SA hilux karibu nyingi ni za SA made zina punguzo kubwa kutokana na model yake...
Wewe jamaa unajifanyaga mjuaji sana saa ingine piga kimya kujiepusha na aibu ndogondogoAgiza gari Japan au Dubai uepukane na Malonya ya SA
Aibu gani hatujuani. Unaelekezwa unajidai mjuaji wacha uuziwe gari za wizi, Interpol wakukamateWewe jamaa unajifanyaga mjuaji sana saa ingine piga kimya kujiepusha na aibu ndogondogo
Ok karibu hiyo Navara ya mwaka gani na ina tatizo gani maana parts zake huku za kumwaga ila Nissan wanajiamini kwenye bei kama Benz tuu..Nimecheki hawa Autotrade Wana hilux nyingi sana zaidi ya 1800 wanauza , tena bei nafuu sana tofauti na hilax za japan,.nataka tuue Navara iko juu ya mawe tukachukue hilax za south, ntakutafuta Mkuu.
Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Ok sawa zipo za kumwaga nadhani kati ya gari zilizo nyingi na sokoni zinafanya vizuri ni hizo Hilux na ndio maana kuanzia 2017 mpaka 2021 wameboresha sana na kuleta hizi GD 6 auto na manual..
Aliyekwambia Gari za SA ni lonya nani? Au Story za Vijiweni???Agiza gari Japan au Dubai uepukane na Malonya ya SA
Nilimaanisha Nyingi za wizi.Aliyekwambia Gari za SA ni lonya nani? Au Story za Vijiweni???