Wadau naomba kazi inayohusiana na 'delivery' au inayofanana na hiyo. Nina experience ya 5+ years
Niko na valid driving licence pia na pikipiki.
Elimu yangu ni Form Six
Computer: MS Word & Excel
Ninaishi Dar Es Salaam.
Kama yupo mwenye huitaji karibu Pm tuzungumze.Asante