Wadau, naomba kujulishwa bei ya Hiace ile super roof (dungu)

mfuga kuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Posts
824
Reaction score
650
Samahani kwa yeyote mwenye uzoefu na bei ya gari aina ya hiace ile super roof, nakusudia kuinunua ila nahitaji used ya kutoka nje ya nchi, japan au dubai, niinunulie yard sio kwa mtu.
kwa mwenye taarifa ya hoja yangu naomba anijulishe tafadhali. au ani pm.

Nawasilisha
Mfuga kuku
 
Garama inakua kati ya 28mil mpaka 32mil kulingana na maboresho uatayo fanya. Itachukua miezi miwili kifika Dar. Katika garama za CIF unaongeza kodi(ingia website yai tra ifanye hesabu ila haipungui 10 mil) kisha kuna kama 1mil ya port charges plus za bima). Hapo unaanza garama zako kulingana matumizi mfano kuweka viti nk. Mi nimeagiza mwaka jama ingawa nilipo naona hailipi na iko sokoni kwa bai ya kutupa. Karibu tuongee. Hata mimi sokupenda za yard maana waswahili tunajua. Nitakuonesha document uthibitishe. Engine Petrol 2rz ya 2003. Imetimika miezi 8 na inafanya kazi masaa2 kwa kila siku, IPO shinyanga. Kama shida ni gari basis njoo ujiridhishe kabla hujafanya garama na muda was kusubiri. Ninauza kwa kua nilipo mzunguko haulipi nataka kubadili mradi
 

Attachments

  • BF504765_7.jpg
    27.2 KB · Views: 174
  • BF504765_6.jpg
    23.2 KB · Views: 162
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…