Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya

hd forever

Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
80
Reaction score
33
Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.
 
Hapo sio kampuni ndugu,wenzako wanachofanyaga unawatafuta madereva wa malori unaongea nao wakipata ratiba za huko wanakubebea mnaelewana jinsi ya kuwalipa.
Ukikosa malori unatafuta gari za magazeti
 
Asanteee kak
 
Nipooo gongo la mboto mkuuu
Nenda pale Chang'ombe Veta kwenye mataa,utaona petrol station hapo kuna madereva wa IT wanaosafirisha magari kwenda Mbeya na Tunduma Kisha uwaelezee shida yako.
Wakishindwa watakuelekeza sehem nyingine sahihi.
 
Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.
Paki mzigo nenda gerezani pale mchana au jioni kauache kuna double Coaster hakuna kulala zinatembea usiku,siku ya pili uko Mbeya.
 
Pia kama utakosa kote uko nenda jangwani kwenye malori. (naamin bado yapo mana kitambo sijapita pande hizo)

Hakuna usafiri wa mizigo kwenda mkoa wowote utakosa
Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.
 
Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.
Kampuni ninazozifahmu mbeya n ,Mateso,usijali,Agm,mbeya city, mapacha zpo nying nenda kidongo chekund ukiulizia hzo transpota watakuoneshaa
 
nenda mwananchi communication kama sikosei wana kampuni mpya ya courie
 
Back
Top Bottom