hd forever
Member
- Sep 8, 2016
- 80
- 33
Hapo sio kampuni ndugu,wenzako wanachofanyaga unawatafuta madereva wa malori unaongea nao wakipata ratiba za huko wanakubebea mnaelewana jinsi ya kuwalipa.Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.
Asanteee kakHapo sio kampuni ndugu,wenzako wanachofanyaga unawatafuta madereva wa malori unaongea nao wakipata ratiba za huko wanakubebea mnaelewana jinsi ya kuwalipa.
Ukikosa malori unatafuta gari za magazeti
Unapatikana wapiAsanteee kak
Nipooo gongo la mboto mkuuuUnapatikana wapi
Nenda pale Chang'ombe Veta kwenye mataa,utaona petrol station hapo kuna madereva wa IT wanaosafirisha magari kwenda Mbeya na Tunduma Kisha uwaelezee shida yako.Nipooo gongo la mboto mkuuu
Paki mzigo nenda gerezani pale mchana au jioni kauache kuna double Coaster hakuna kulala zinatembea usiku,siku ya pili uko Mbeya.Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.
Wadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.
Kampuni ninazozifahmu mbeya n ,Mateso,usijali,Agm,mbeya city, mapacha zpo nying nenda kidongo chekund ukiulizia hzo transpota watakuoneshaaWadau naomba kujuzwa kampuni inayosafirisha vitu kutoka Dar - Mbeya . Ni vitu vya ndani vipo kidogo tu.