Nyumba ndogo haina faida yeyote, rather you will face the following problems:
- Kuporomoka kwa hali yako ya uchumi kutokana na kuhudumia familia mbili
- Uwezekano wa kupata magonjwa hatari kama ukimwi na magonjwa ya zinaa kuongezeka.
- Kutokujiamini hasa mbele ya mkeo na kuishi kwa sasiwasi ukihofia mkeo asijue una nyumba ndogo
- Kumkosea Mungu wako
- Stress za kila siku hasa ukifikiria uwezo wa kuishi naye na kuwa huru nae huna, so inawezekana pia kuwa wenzio wanakusaidia kazi hasa mida ya usiku wakati uko na mkeo wa ndoa
Just few, zingine wadau ongezeeni.