Wadau naomba mniambie kitu ktk hili

talentboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
2,104
Reaction score
2,073
Habari zenu,
kuna mschana mmoja ambaye ni mwanachuo mwenzangu wote tukiwa katika kozi moja. sio siri nimetokea kumpenda sana huyu mschana kutokana na sifa nyingi na vigezo ambavyo anavyo. ila tatizo huyu dada anaji sikia sana na ukizingatia hata sina mazoea nae masikini,na pia nahisi kama by nature hanipendi kwani inapotokea naongea juu ya jambo fulani iwe kwenye discussion au class huwa hafurahii hata kidogo. but wenzangu wanapozungumza hata kama si jambo la msingi basi hufurahia.


Na jengine hata salamu yake kuipata ni shida yaani anamaringo ile mbaya. Jamani hebu naomba mnipe mawazo ya kijasiri jinsi ya kumuingia huyu mtoto ili nitmize ndoto zangu za kutaka kuwa nae, maana the way she behaves nakosa hata ujasiri wa kumtamkia chochote hata kama kinahusiana na academic matters.

Mchango wenu ni muhimu,natanguliza shukrani.
 
Duh, uandishi wako tu, ngumbaru hatuelewi, ngoja ije dot com itutafasirie kwanza hizo bc, ktkn, mcng.
 
we mtongoze tu mwanawane,kukatiliwa/kukubaliwa ni jambo la kawaida mno. Nalog off
 
we mtoto wa kiume acha uoga mana kama baba yako angekua na uoga usingezaliwa ww loh! jikaze ndio uanaume huo
 
tulizana kijana hawa wanadada wanakudanganya....uawanaume ni kujua wapi pakuingia na wapi sio pakugusa. sasa isjelipuliwa bure hapa....chill out kama waona kuwa huyo mtu ata stim haonyeshi...hivyo just take it slow usimtamkie kuwa wampenda maana ukipigwa buti ata confidence ambayo kwa sasa kwenyewe ipo low itaenda kwenye negative....buy ur time usitamke lolote kuhusu kutaka!!!
 

Naomba umalizie hayo maneno
au ya rekebishe maana haueleweki..
 
Sasa huyo msichana anae ringa hivo we umeona sifa zake vipi? laba ututajie kwanza hizo sifa...
 
Talentboy, talent zako ni zipi kama huwezi kumwaga somo kwa binti ukaeleweka? Inaonekana wewe ni mvivu wa kila kitu kama uandishi wako.
 
jiamini umtokee. halafu una-judge vipe kuwa anaringa ilhali hujamzoea? ila jicheki labda kuna kitu ukifanyacho kinamkera
 
Dah mwana kuandika 2 unaonekana mvivu afu inakuaje unamujudge na kumpamba kwa sifa wakati hata kuongea hujaongea nae,jenga mazoea nae nae umuone ana respond vp.
 
sasa hapo wewe unataka nini zaidi iwapo tayari umeshaona kuna tatizo ??? au unapenda kufuata matatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…