Wadau naomba mnijuze juu ya HGE

katetiboy

New Member
Joined
Jan 6, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari
mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka uliopita sasa nimechaguliwa HGE naombeni mnijuze juu ya hii tahasusi(combination) tafadhali
 
Ipo poa sana hiyo kombi na hasa kama utafaulu BAM ambapo utaweza kusomA kozi za arts, biashara na hata baadhi ya koz za sayansi. mimi nilisoyma hiyo kombi na kuchukua shahada ya uhasibu (Bba accounting) na sasa ni mhasibu mzur tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…