profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
1. Uimara wa gari unategemea na utunzanji wako na hapa barabara inahusika, mfano huwezi kufukia shimo kwa gari yenye ground clearance ndogo kama hiyo IST. Nyata baba nyata [emoji23][emoji23]Wadau naomba mnijuze juu ya ist new model kuhusu
1.uimara wa gari kwa ujumla
2.urahisi wa bei na upatikanaji wa vipuri.
3.ulaji wa mafuta
4.udhaifu wake
5.kutulia barabarani
shukrani wakuu.View attachment 2513619
Range ya bei ni ngapi paka ngapi, uko SBI1. Uimara wa gari unategemea na utunzanji wako na hapa barabara inahusika, mfano huwezi kufukia shimo kwa gari yenye ground clearance ndogo kama hiyo IST. Nyata baba nyata [emoji23][emoji23]
2. Urahisi wa bei inategemea na kampuni unayonunua gari, unaweza kuta SBI motors inauzwa chini kidogo kuliko huko mlikozea I mean be forward
3. Engine yake ya kawaida so mafuta yanaenda fresh tu usiogope watu tuna majini ila tunakomaa nayo mzee.
4. Udhaifu sijui mkuu nachojua imepass international standard measurements
5. Kutulia kipengele mzee wadau watasemea hili.
6. Iko vizuri mkuu
Hii ndio naita kujibu swali bila kujibu swali.....1. Uimara wa gari unategemea na utunzanji wako na hapa barabara inahusika, mfano huwezi kufukia shimo kwa gari yenye ground clearance ndogo kama hiyo IST. Nyata baba nyata [emoji23][emoji23]
2. Urahisi wa bei inategemea na kampuni unayonunua gari, unaweza kuta SBI motors inauzwa chini kidogo kuliko huko mlikozea I mean be forward
3. Engine yake ya kawaida so mafuta yanaenda fresh tu usiogope watu tuna majini ila tunakomaa nayo mzee.
4. Udhaifu sijui mkuu nachojua imepass international standard measurements
5. Kutulia kipengele mzee wadau watasemea hili.
6. Iko vizuri mkuu
Ingia kwenye tovuti yao ukasome bei na ukiweza ingia site tofauti tofauti ufanye mlinganisho wa bei, kisha chagua ipi nafuu.Range ya bei ni ngapi paka ngapi, uko SBI
Hii nilisahau aaagize straight from Japan madalali wetu jau sana.Chukua Hiyo Gari Hakikisha T*k* La Mjapani Ndiyo Inakuja Kwako (Itoke Japan)
Siyo Kwenye Mikono Ya Janjajanja Utakuja Kuwaona Mafundi Mpaka Uchoke
Nakazia📌🔨1. Uimara wa gari unategemea na utunzanji wako na hapa barabara inahusika, mfano huwezi kufukia shimo kwa gari yenye ground clearance ndogo kama hiyo IST. Nyata baba nyata [emoji23][emoji23]
2. Urahisi wa bei inategemea na kampuni unayonunua gari, unaweza kuta SBI motors inauzwa chini kidogo kuliko huko mlikozea I mean be forward
3. Engine yake ya kawaida so mafuta yanaenda fresh tu usiogope watu tuna majini ila tunakomaa nayo mzee.
4. Udhaifu sijui mkuu nachojua imepass international standard measurements
5. Kutulia kipengele mzee wadau watasemea hili.
6. Iko vizuri mkuu
Kwamba sijajibu swali niko OP?Hii ndio naita kujibu swali bila kujibu swali.....
Hapana yaani majibu yako yanaendelea kuleta maswali zaidi kwamba imepass international measurements kwani kuna gali limefail standards na lipo barabarani ?Kwamba sijajibu swali niko OP?
Perception yako ndugu ila kuna mtu kaelewa nilichomaanisha, either way wewe ndio useme kama kuna gari ambayo iko barabarani haijapass int standardsHapana yaani majibu yako yanaendelea kuleta maswali zaidi kwamba imepass international measurements kwani kuna gali limefail standards na lipo barabarani ?