Nimeibiwa pesa kutoka benki ya CRDB na NMB kwa njia ya mtandao (cyber crime). Jamaa aliswap namba Yangu ya simu na Kisha akaenda kuisajiri upya na akaitumia kukwapua pesa benki zote mbili na kuhamisha kwenda kwenye akaunti nyingine.
Nimeenda benki wasema nenda vodashop, watendaji wa voda wananiyumbisha hawanipi majibu sahihi, wanasema njoo kesho ukienda Mara ohoo we subiri makao makuu (Dar) watakupigia sasa wiki na zaidi.
Mwenye ufahamu na hili tafadhali naomba msaada..