Wadau naomba msaada wa ushauri

mtzima

Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
41
Reaction score
13
Nina mzazi wangu mtu mzima(zaidi ya miaka 60)ambae anasumbuliwa presha kwa muda wa miezi miwili sasa,pamoja na kwenda hospitali na kufuata masharti yote ya tiba naona nafuu ni ndogo sana mwili wake umevimba(hasa miguu)na akila chakula mara nyingine hutapika,naomba ushauri kwenu wadau ni dawa gani inaweza kumsaidia mzee wangu au ushauri wa kitaalam ili aweze kupata nguvu mpaka sasa bd anasumbuliwa na tatizo hilo.natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…