Ushauri wako mheshimiwa ni mzuri,nitaendelea kumshawishi kwa maana napata hoja zaidi za kushawishi,nashukuruMimi dr, hakuna wa kumcheka kwani hayo ni majadiliano kati ya yeye na daktari. Lakin akibaki hivyo uchafu unaokusanyika waweza sababisha kansa kwake na pia mkewe ile ya shingo ya kizazi ni moja ya visababishi. Hivyo asiogope aende tu.
Nashukuru kwa ushauri wako Michelle,ila mie ni mwanaume,asanteAnaogopa nini sasa?aibu kwani inatangazwa?kama vipi akatahiriwe sehemu watu wasiyomfahamu.....ili asione aibu!!!Nguvu za kiume zipo tu kama anazo,so ni bora kuwa na nguvu za kiume kuliko kuwa katika risk kubwa ya kupata maambukizi???
Pole sana,tumia uwezo wako wa kike kumshawishi aende kutahiriwa:coffee::coffee: