Wadau naomba tofauti ya hizi gari noah zote

Chakulagani

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
271
Reaction score
51
Hapa pia naomba waje wataalam wa
kuzichambua hizi Noah kwa faida ya sie
watumiaji.
Maana kuna
Liteace
Townace
Tourer
Nk
Zipi zenye kustahimili shurba ya kazi ngum na
rafiki wa mafuta
 
naomba saaaana ndg.zangu,Baraka za bwana ziwe nawe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…