Wadau naomba ufafanuzi wa Mazda Tribute

Mneneey

Member
Joined
Sep 1, 2018
Posts
11
Reaction score
8
Je, ni gari yenye matatizo gani? Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa speya, anatembea vzuri kwny barabara zetu? Kwa used bei zake kwa madafu zinarange vipi?

Naomba msaada, nimeona mtandao nikaipenda naazimia kununua so mawazo yenu yatakuwa ya msaada sana.[emoji120] [emoji120]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mazda sio gari nzuri, kuanzia kwenye engine yake imekaa ki luxury haiwezi kupambana na mazingira magumu, Body yake nyepesi kuchakaa na kubonyea.

Kuhusu vipuri utapata tabu wauzaji wengi wa spare wanaweka spare za magari yaliyomengi barabarani mfano Toyota so kuwa makini ila nenda kaichunguze vizuri haya ni maoni tu.

'HOW MUCH IS TOO MUCH?'
 
Chief kama hivyo Mazda yako si uliiuza kwa bei ya chini sana au bado unayo?
 
Kuna mtu alinambiaga Mazda huku bongo ni pasua kichwa ila nchi kama DRC ndiyo mwake
 
Labda skrepa, ikiwa bado mpya utaiuza ila ikishachoka inachoka kila kitu bodi, engine na tairi zinaweka tege hata aibu kumuuzia mtu kwa ajili ya matumizi
Ndio maana wanayauza Bei ya Kizalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…