Wadau naomba ushirikiano wenu kuhusu hili swala la Public Writers

Wadau naomba ushirikiano wenu kuhusu hili swala la Public Writers

nyaucho

Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
40
Reaction score
11
Je Waandishi wa Umma (Public writers) wanaruhusiwa kisheria kuidhinisha mikataba? kama wanaruhusiwa, ni sheria gani na chini ya kifungu kipi?
 
Back
Top Bottom