mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Msaada wenu Tafadhali Wadau.Natumia HP ina sauti ndogo Sana.Nataka niongeze angalau.Mwenye kufahamu drivers msaada Tafadhali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kauliza swali zuri sana. Mimi nina HP 350 G1, Core i5. Hii PC zamani wakati natumia windows 7, ilikuwa na sauti kubwa, ila ilicorrupt (ransomware, files zote zilikuwa na extension ya .puma) nilihangaika ila nikashindwa recover nikapoteza data zangu zote. Nilifanya clean installation ya windows 10. Toka hapo sauti ilikuwa ndogo saaana hadi leoUngeweka full model ya hio HP, na sauti si drivers tu Bali hata hardware inatakiwa iwe nzuri.
HP nyingi zinakua na driver ya sauti ambayo haiko sawa na ile inayokuja na windows. Nenda kwenye support page ya hyo PC utaona driver zakeJamaa kauliza swali zuri sana. Mimi nina HP 350 G1, Core i5. Hii PC zamani wakati natumia windows 7, ilikuwa na sauti kubwa, ila ilicorrupt (ransomware, files zote zilikuwa na extension ya .puma) nilihangaika ila nikashindwa recover nikapoteza data zangu zote. Nilifanya clean installation ya windows 10. Toka hapo sauti ilikuwa ndogo saaana hadi leo
Weka driver ya sauti. Ni model gani nikutafties driver zake hapa chapMm ya kwangu HP envy mpya ile alama ya sounds imepiga X nyekundu mpaka sasa sipati sauti na nimeshindwa kwakweli
Hii mkuu, hii hali ya sound icon kupiga kistari chekundu baada ya kuupdate kuna drive max ambazo nimejaribu kudownload but ni file la 2019 nimescan haijakubali, nitashkuru ukinifapa uelekeo broWeka driver ya sauti. Ni model gani nikutafties driver zake hapa chap
Driver hyo hapo:Hii mkuu, hii hali ya sound icon kupiga kistari chekundu baada ya kuupdate kuna drive max ambazo nimejaribu kudownload but ni file la 2019 nimescan haijakubali, nitashkuru ukinifapa uelekeo broView attachment 1679058View attachment 1679059View attachment 1679061
Thnx mkuu, safi sana [emoji120] [emoji120]Driver hyo hapo:
Driver - HP ENVY Laptop - 17-cg0511sa | HP® Customer Support
support.hp.com
Kama pc yako inatumia inbuilt sound card ya Bits, B&O ama DTs.. Nenda kwenye website ya hp support drivers and downloads kisha ingiza taarifa za pc yako yani model na OS unayotumia.Msaada wenu Tafadhali Wadau.Natumia HP ina sauti ndogo Sana.Nataka niongeze angalau.Mwenye kufahamu drivers msaada Tafadhali.