Wadau naombeni Anayefahamu Drivers za Sound Boost za PC.

mazaga one

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
2,514
Reaction score
4,042
Msaada wenu Tafadhali Wadau.Natumia HP ina sauti ndogo Sana.Nataka niongeze angalau.Mwenye kufahamu drivers msaada Tafadhali.
 
Ungeweka full model ya hio HP, na sauti si drivers tu Bali hata hardware inatakiwa iwe nzuri.
 
Mm ya kwangu HP envy mpya ile alama ya sounds imepiga X nyekundu mpaka sasa sipati sauti na nimeshindwa kwakweli
 
Ungeweka full model ya hio HP, na sauti si drivers tu Bali hata hardware inatakiwa iwe nzuri.
Jamaa kauliza swali zuri sana. Mimi nina HP 350 G1, Core i5. Hii PC zamani wakati natumia windows 7, ilikuwa na sauti kubwa, ila ilicorrupt (ransomware, files zote zilikuwa na extension ya .puma) nilihangaika ila nikashindwa recover nikapoteza data zangu zote. Nilifanya clean installation ya windows 10. Toka hapo sauti ilikuwa ndogo saaana hadi leo
 
HP nyingi zinakua na driver ya sauti ambayo haiko sawa na ile inayokuja na windows. Nenda kwenye support page ya hyo PC utaona driver zake
 
Mm ya kwangu HP envy mpya ile alama ya sounds imepiga X nyekundu mpaka sasa sipati sauti na nimeshindwa kwakweli
Weka driver ya sauti. Ni model gani nikutafties driver zake hapa chap
 
Weka driver ya sauti. Ni model gani nikutafties driver zake hapa chap
Hii mkuu, hii hali ya sound icon kupiga kistari chekundu baada ya kuupdate kuna drive max ambazo nimejaribu kudownload but ni file la 2019 nimescan haijakubali, nitashkuru ukinifapa uelekeo bro
 
Msaada wenu Tafadhali Wadau.Natumia HP ina sauti ndogo Sana.Nataka niongeze angalau.Mwenye kufahamu drivers msaada Tafadhali.
Kama pc yako inatumia inbuilt sound card ya Bits, B&O ama DTs.. Nenda kwenye website ya hp support drivers and downloads kisha ingiza taarifa za pc yako yani model na OS unayotumia.
Kama haina mifumo hio hapo juu inbuilt basi mzee nunua spika za nje tumia.. Hizo sound booster unazotafuta zitachana spika na utakuja kuichukia PC yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…