U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Mar 14, 2021 #1 Wapendwa husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Wadau Naombeni Maoni Yenu Kuhusu Msemo Huu"Kama Mwanadamu Sijakamilika ila Kibinadamu Nimeumbiwa Makosa" Karibuni kwa michango
Wapendwa husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Wadau Naombeni Maoni Yenu Kuhusu Msemo Huu"Kama Mwanadamu Sijakamilika ila Kibinadamu Nimeumbiwa Makosa" Karibuni kwa michango
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Mar 14, 2021 #2 Aliyekuumbia makosa ni nani!??? Mwanadamu anakamilishwa na nguvu ya Mola.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 14, 2021 #3 Pole sana... Ushapigwa hapo au ushaibiwa...