Wadau naombeni taarifa za hawa jamaa wa utumishi kwa zile posts za may 2012

Wadau naombeni taarifa za hawa jamaa wa utumishi kwa zile posts za may 2012

mbona huwezi kujielezea wewe? Wala husomeki nini unataka kujua na kuhusu nini
 
mkuu kuwa wazi kidogo unataka kujua nn haswa? kama watu wameitwa na wameitwa kwenye nn interview au kazini???au bado hawajaitwa ??
 
Oya mi nimekusoma hawajaita wala nini yani wameita amaktibu kata tu nd ni mizinguo vbaya
 
Back
Top Bottom