D Davey 2017 Senior Member Joined Mar 24, 2017 Posts 109 Reaction score 133 Oct 30, 2019 #1 Wadau naombeni ushauri wa kubadilisha engine, Naomba watoa ushauri wawe wanazijua vizuri engine siyo wagaga gigi koko. Gari ina Engine ya 1JZ GE kavu Nafikiria kuitoa na kuweka 1JZ GE yenye vvti ( siyo ya brevis ambazo ni 1JZ FSE na D4) Ama niweke 1G FE kavu, aina ya Gari ni mark ii. 1JZ GE imetumika kwenye hili gari takriban miaka 7 hivi bila major issue hadi january hii. Ipi ni bora 1G FE kavu ama 1JZ GE yenye vvti, nabandika photos za injini zote tatu
Wadau naombeni ushauri wa kubadilisha engine, Naomba watoa ushauri wawe wanazijua vizuri engine siyo wagaga gigi koko. Gari ina Engine ya 1JZ GE kavu Nafikiria kuitoa na kuweka 1JZ GE yenye vvti ( siyo ya brevis ambazo ni 1JZ FSE na D4) Ama niweke 1G FE kavu, aina ya Gari ni mark ii. 1JZ GE imetumika kwenye hili gari takriban miaka 7 hivi bila major issue hadi january hii. Ipi ni bora 1G FE kavu ama 1JZ GE yenye vvti, nabandika photos za injini zote tatu
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,188 Reaction score 6,244 Nov 3, 2019 #2 Kwanini sio 1GFE vvti iwe Kavu? Mwendo siku izi ni vvti ndio utapata good consumption. Kama ni mtu unaetaka more power 1JZ GE is the way to go.
Kwanini sio 1GFE vvti iwe Kavu? Mwendo siku izi ni vvti ndio utapata good consumption. Kama ni mtu unaetaka more power 1JZ GE is the way to go.
D Davey 2017 Senior Member Joined Mar 24, 2017 Posts 109 Reaction score 133 Nov 4, 2019 Thread starter #3 chilubi said: Kwanini sio 1GFE vvti iwe Kavu? Mwendo siku izi ni vvti ndio utapata good consumption. Kama ni mtu unaetaka more power 1JZ GE is the way to go. Click to expand... Mafundi wanashauri kavu. Sasa hapo ndiyo nikawa sielewei elewi.
chilubi said: Kwanini sio 1GFE vvti iwe Kavu? Mwendo siku izi ni vvti ndio utapata good consumption. Kama ni mtu unaetaka more power 1JZ GE is the way to go. Click to expand... Mafundi wanashauri kavu. Sasa hapo ndiyo nikawa sielewei elewi.
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,188 Reaction score 6,244 Nov 4, 2019 #4 Davey 2017 said: Mafundi wanashauri kavu. Sasa hapo ndiyo nikawa sielewei elewi. Click to expand... Wana wazimu
Davey 2017 said: Mafundi wanashauri kavu. Sasa hapo ndiyo nikawa sielewei elewi. Click to expand... Wana wazimu