Wadau natafuta fundi magari anaye hitaji msaidizi

Wadau natafuta fundi magari anaye hitaji msaidizi

ronadoo

Senior Member
Joined
Apr 6, 2023
Posts
157
Reaction score
415
Mimi ni fundi natafuta fundi anaye hitaji msaidizi faniyangu ni mechanical
Niko dar
 
Lete cv yako, nitakuunganisha kwenye gereji kubwa tu Dodoma na utapata pakuanzia ila kula kulala utajitegemea.
 
Back
Top Bottom