Miogo ivune Kisha toa tope/mchanga bila kuimenya vile vile na magamba ikatekate kilo moja,ntakupa 190 Mia na tisini.nachukuwa yotee. Hapa Dar,Habari zenu wana jf, Bila kuchelewa twende kwenye mada kama kichwa kinavyo jieleza natafuta soko la mihogo mibichi, Huku nilipo Morogoro Turiani mihogo mibichi inapatikana kwa wingi tu nna mpango wa kuinunua kwa mkulima na kuisafirisha tatizo lipo kwa upande wangu sijui pakupeleka.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu wadau.
kila kiroba shingapi? Vema tukianza na viroba 100Kwasasa uwezo wangu wa kununua huku ni viroba 10 vya kg 25 endapo mtaji ukiongezeka nataka kubeba kwenye Canter au Fuso
Mkuu huko mkuranga itakuwa ni chaka sana maana mi kiroba nanunua kwa elfu 13 ukipiga hesaba haraka haraka hicho kiroba cha kg 25 ukikipima kwa makadirio inaweza kufika kg 40 au 50 kwaiyo ukizidisha Kg 50 Γ 90 tsh = 4500. Siwezi kufanya hiyo biashara kichaa.... Over... Over... πππSoko lipo mkuranga dsm wanaunua kwa k ilo.
Shs. 90 kwa kilo.
na wanapenda mbegu ya kiroba ila nadhani wana unua yote. Ukipeleka mpunga hapo
sawa hilo ni soko la wa kule kule .Mkuu huko mkuranga itakuwa ni chaka sana maana mi kiroba nanunua kwa elfu 13 ukipiga hesaba haraka haraka hicho kiroba cha kg 25 ukikipima kwa makadirio inaweza kufika kg 40 au 50 kwaiyo ukizidisha Kg 50 Γ 90 tsh = 4500. Siwezi kufanya hiyo biashara kichaa.... Over... Over... πππ
Pole sana kwa majanga hayo na Asante mkuu kwa kunifumbua macho ila wadau wengi humu wanasema huko sokoni wananunua kwa kg mdau mmoja kasema wananunua tsh 90 na mwingine amesema ananunua tsh 190 nami nkipiga hesabu hailipi hata nusu ya gharama ya manunuzi.Kilimo ambacho hakina soko linaloeleweka! Mie niliongea na wadau before hasa Tantrade na kuna chama cha kuunganisha masoko ya mazao wapo Mkuranga pale.
Walinipa moyo soko lipo kubwa sana nishindwe mimi.
Mihogo ilipokomaa, hawana soko tena!! Niita canter za Buguruni wakabeba mihogo yao nami nikabaki na hasara yangu!
Nenda soko la Stereo Temeke na Buguruni hapa Dar japo walaliani mno! All the best Dude
Mkuu kwa Kwanza Ni Aina gani ??? Kisha nakushauri fuatilia masoko na Kama una mtu aende moja kwa moja sokoni na ajue Ni Aina ipi ya mhogo iko sokoni ndio upelekeHabari zenu wana jf, Bila kuchelewa twende kwenye mada kama kichwa kinavyo jieleza natafuta soko la mihogo mibichi, Huku nilipo Morogoro Turiani mihogo mibichi inapatikana kwa wingi tu nna mpango wa kuinunua kwa mkulima na kuisafirisha tatizo lipo kwa upande wangu sijui pakupeleka.
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu wadau.