sasa kwa mambo yanavyoanza sasa ungeju a hilo. Haijawai tokea nchi hii mhogo ukanunuliwa kwa kg toka shambani kwa mkulima. Maana inatakiwa uuzwe 24 hrs baada ya kuchi!bwaina maana mambo yanabadilikaSajajaribu kupima lakin kwa kiroba kimoja cha kg 25 kwa kukadiria hakizidi uzito wa kg 50 kwenda juu.
Kuhusu aina hilo cjalizngatia ila mi nnacho angalia nkienda kwa mkulima kabla ya yote cha kwanza je mihogo yake huyo mkulima ameipandia mlimani maana muhogo wa mlimani hauna maji na ndio mzuri kwa biashara lakn kama ameipandia bondeni cnunui naiacha maana muhogo wa bondeni una maji kwaiyo haunfai kwa biashara maana hauivi.Mkuu kwa Kwanza Ni Aina gani ??? Kisha nakushauri fuatilia masoko na Kama una mtu aende moja kwa moja sokoni na ajue Ni Aina ipi ya mhogo iko sokoni ndio upeleke
Humu hutopata jibu lilo na uhakika asilimia Mia
Supermarket gani?kwanini usikaushe,ukasaga unga na kupack?,ukaweka packaging nzuri,ukauza supermarket unga wa muhogo?
Sawa mkuu siku hz masoko meng wanaaangalia Aina ya muhogo husikaKuhusu aina hilo cjalizngatia ila mi nnacho angalia nkienda kwa mkulima kabla ya yote cha kwanza je mihogo yake huyo mkulima ameipandia mlimani maana muhogo wa mlimani hauna maji na ndio mzuri kwa biashara lakn kama ameipandia bondeni cnunui naiacha maana muhogo wa bondeni una maji kwaiyo haunfai kwa biashara maana hauivi.
Hivyo ndivyo nnavyo vzingatia niendapo kwa mkulima.
Supermarket gani?
Zilezile story za waliokua wanajenga ma greenhouse wanakwambia ukivuna utauza kwny ma S/Market.
Vuna sasa hizo nyanya utafurahishwa.
Kuna watu wlijiundia kagroup wkalima zile hoho za njano!wakasema watapeleka lile suparmakt la matunda dar!nimeishia hapa🤣!
Sio Tz,hiyo ni US,lakini kifungashio unaagiza China,Bei nafuu,like tsh 50 tuProduct ya Tz hii??nataman kubisha tz vifungashio ni zero!
Ila nimechanganya hoho nikadhani pilipili mbuzi,kiufupi hoho huwezi ukaisaga,inakua haileti maanaProduct ya Tz hii??nataman kubisha tz vifungashio ni zero!
Ila nimechanganya hoho nikadhani pilipili mbuzi,kiufupi hoho huwezi ukaisaga,inakua haileti maana
Sio Tz,hiyo ni US,lakini kifungashio unaagiza China,Bei nafuu,like tsh 50 tu
Dadangu kwenye changamoto ndyo hela ilipo......yaani ukiskia neno changamoto ujue kuwa hela haipo mbali.Ukiweza kupenyeza product yako sokoni ww ni mtu mwingine tayari!
Mwaka 2016 niliamua kuongeza thamani ya [emoji526][emoji526]!jaman nilisumbuka sana!kifupi mambo bado magumu sana sana!
Nikitaman kutengeneza strawberry pulp au wine!
Wine nikapiga hesabu nikitaka kupata faida niuze 40000/=750ml!
Hyo pulp ndp nikaona sitaweza kuuza 4000/=..ningetakiwa kuuza zaidi ya 12000/=!kifup changamoto ni ninyingi!kuagiza chupa ilikua km 1600!
Dadangu kwenye changamoto ndyo hela ilipo......yaani ukiskia neno changamoto ujue kuwa hela haipo mbali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Trust me kuna watu wengi tu wangeweza ku afford izo bei sema labda hukujua utawapata wapi! ..vile vile ungeangalia option ya kuuza nje ya nchi hta kenya hpo kwa kuanzia.Ile ilizid best!..nan umuuzie jam kwa 10k?au wine kwa 40k?