Wadau, nataka kufanya biashara ya urembo mfano

Lilie1990

Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
7
Reaction score
1
Wadau habari, natamani kufanya biashara ya urembo, kununua Dar to mkoani, sijui pa kuanzia nifanyeje? ?
 
Biashara ya urembo ni pana, sema unataka kufanya kitu gani hasa
 
Wadau habari, natamani kufanya biashara ya urembo, kununua Dar to mkoani, sijui pa kuanzia nifanyeje? ?
Test mitambo kwanza, ikitiki ndio uzame mazima, usije weka pesa yote huko alafu ikazingua
 
..nataka kuchana ila sijui pa kuanzia..anzia hapo hapo...hapo mbele nitakazia Joh Makini

Anzia hapo hapo mkuu hata kwa kidogo ulichonacho,mambo mengine yatajipa automatically tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…