Nonpartisan
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 278
- 254
Natembea adi km.11 kwa mguu1. Una uwezo wa kutembea umbali gani kwa miguu?
2. Mara ya mwisho kupanda gari ilikuwa lini ?
3. Umewahi kutembea safari ya kutoka wapi kwenda wapi (safari ndefu) kwa miguu ?
4. Je unatembea kwa miguu unapenda au kwa kuwa huna gari?
Nadhani kuna haja ya kukushindanisha na Rais2020 maana amekuzidi kmNatembea adi km.11 kwa mguu
Napanda usafiri wa uma pale tuu inaponibidi.
Natembea ubungo mpaka kibamba kila Siku(nauza karanga)
Napenda kutembea
Vip nafaa kua raisi?
Nimepiga mahesabu natembea km 22 daily kwenda na kurudi. Nipeni uraisiNadhani kuna haja ya kukushindanisha na Rais2020 maana amekuzidi km
Bado umezidiwa 5Nimepiga mahesabu natembea km 22 daily kwenda na kurudi. Nipeni uraisi
Acha uwongo kutoka wapi kwenda wapi?Km 11 unasema unatembea? Binfasi kwa siku natembea 25 km kila siku
Jeshini lazima uhakikishe unakimbia km nyingi kwa siku. We endelea kutembea km 2 halafu ujisifu na ww umetembea kwa miguuAcha uwongo kutoka wapi kwenda wapi?
Muongo uyo anataka kunibania rizki tuu.Acha uwongo kutoka wapi kwenda wapi?
Hahahahahaha ni kweli labda tupate rais wa watembea peku ambapo Rais wake anajulikana ni mpotoHichi chama kitakosa rais wa kudumu,manake raisi akipata mchuma tu anakuwa amepoteza sifa ya kuwa kiongozi na mwanachama
Kwa hio uko jeshini? Sasa unakimbia au unatembea? Halafu ndio kila siku iendayo kwa Mungu?Jeshini lazima uhakikishe unakimbia km nyingi kwa siku. We endelea kutembea km 2 halafu ujisifu na ww umetembea kwa miguu
Jeshini ni kwa wajibu mi natembea kwa kujitolea. privateKwa hio uko jeshini? Sasa unakimbia au unatembea? Halafu ndio kila siku iendayo kwa Mungu?