Habari zenu wadau. Katika michakato yangu ya kaz nataraj kupata sh. Mil. 5, napenda kuzifanyia biashara kuliko kuziweka tu mahali. Ninaishi Dsm, naomba msaada wa mawazo kwa yeyote, biashara gani naweza fanya na maeneo yapi, ili niweze kuona faida ya uwekezaji wangu. Asante