Wadau Naweza kupata softwere hii

Wadau Naweza kupata softwere hii

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
728
Wakuu uwezo wangu wa kuimiliki keyboard ya pc unaniwia mdogo kwa sababuu cjawahi kujifunza kuchapa,jamani naweza kupata softwere ninayoweza kuitumia kujifunza typing kwa haraka mimi mwnyewe.
Natanguliza shukrani.
 
Nashukuru mkuu kwa sasa natumia phone niko njiani nikifika home tu ndo kazi ya kwanza.Nimechoka kutype kwa kudonoadonoa
 
Back
Top Bottom