Wakuu uwezo wangu wa kuimiliki keyboard ya pc unaniwia mdogo kwa sababuu cjawahi kujifunza kuchapa,jamani naweza kupata softwere ninayoweza kuitumia kujifunza typing kwa haraka mimi mwnyewe.
Natanguliza shukrani.
Zipo nyingi sana mkuu ila nzuri ambayo nilishawahi kutumi ni Mavis Beacon, kwani inakufundisha jinsi ya kupanga vidole, na jinsi utakavyotype kwa speed bila kukosea ndo unavyozidi kupanda ngazi hadi kuwa mtaalam click hiyo link hapo chini uidownload