Habari za mchana kwenu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji dye kwa ajili ya kuweka kwenye nguo nyeusi zilizopoteza rangi ili zirejee katika rangi yake ya mwanzo.
Sifahamu kwa hapa Dar es Salaam wapi ninaweza kupata,
Nimeona zinauzwa amazon, ebay ila mchakato wa kuagiza utanigharimu hela nyingi sana na usumbufu wa hapa na pale kwa kuwa sinunui kwa jumla
Hivyo naomba mwenye kufahamu namna ya kunisaidia ajitokeze
Jioni njema
MwehUkiipata , taadhali utujuze nasi pia ni wahitaji
KhaswaaaaaUkiipata , taadhali utujuze nasi pia ni wahitaji
Kwa nini isiwezekanesina uhakika kama inawezekana, labda tungoje wataalamu wa Mavazi watuambie.
Namna zipo nyingi tu. Ni kufikiri nje ya box.Nunua mpya, hakuna namna!
HaitasaidiaWeka picha tuone jinsi tatizo lilivyo
Sio vilazer ni vilaza wewe utaacha lini upumbavu.Nyie wote ni vilazer