Wadau nguo zangu nyeusi suruali na shati zimepauka nitafanya nini zirudi kuwa mpya tena

Pale SUA Morogoro department ya mambo ya textile wanafanya hio kitu nakumbuka kulikua na jamaa angu pale anasoma Family consumer alinibadilishia jeans yangu rangi pia inawezekana kung'arisha nguo
 
Kumbe tunavyoitwaga watanzania, maskini wanyonge, kumbe kuna ukweli, tazama mtu huyu hana hela za kununua suruali mpya anataka awe anazipaka rangi suruali zake alizonunua wakati wa jakaya
 
Tatizo humu hakuna wauza mitumba maana ungejibiwa vyema kwa rangi nyeusi sijajua ila blue and dark huwa nilikua naona wauzaji pindi wanapeleka mibadani

Kama ulivyosema hawa vilaza wa UDSM hawajui chochote maana hawa wote ni wajalalani
 
Umeangaika sana ni rahsi dye zimejaa, tafuta Rangi ya Batiki. Biashara imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…