Kama kichwa cha habari kinavyo sema, wewe mdau mwenzangu unashabikia timu gani tokea Ulaya, let us be honest, taja club yako halisi unayo shabikia ikitokea umefunga hatutokucheka zaidi ya kukufariji na kipi kilikuvutia hadi kuishabikia,
Mimi shabiki wa Arsenal, the 🔫ner(s), nilianza kuishabikia hii club tangu mdogo dodo japo nilijaribu kuhamahama timu tofauti sababu ya vikombe lakini macho yangu bado yalikuwa the gunners, ilifika kipindi nikajitafakari nikarejea zangu home,
We are Arsenal............., nawasilisha,