du, kiongoziMoja kwa moja kwenye jibu. Hakuna sheria ya dini wala serikali inayokataza. Toa talaka mkuu wengine tupate ndoa.
ahsante, hata siogopi malezi lakini🤣🤣🤣🤣Huna lolote unaogopa majukumu ya malezi ya kijacho wewe😏, ila usimwache bana hizo changamoto huenda ni kwa kipindi hiki cha ujauzito tu akijifungua atakua sawa.
shukrani sana sana!! ndoa zinachangamoto sana wakati mwingine......sana!Sheria ya dini ipo hiviii
1.Huruhusiwi kumuowa mwanamke akiwa mjamzito had pale atakapo jifungua ndipo unaruhusiwa kumuowa.
2. Kumpa talaka akiwa na mimba unaweza ila unatakiwa uwajibike kutoa matumizi kwakua kile kiumbe kilichopo tumbon ni damu yako
KUBWA ZAIDI
Talaka ni halali ila inamchukiza sana Mwenyezi Mungu hivyo jaribu kutafuta suluhu au watu wenye elimu ya din wakupe elimu zaidi juu ya talaka ni somo ambalo unatakiwa ukae chin, kwasababu unaweza kufikiri umeacha kumbe bado kisheria hujaacha, au unaweza kufikiri hujaacha kumbe kisheria umeacha.
Sent using GunTrigger
Huna lolote unaogopa majukumu ya malezi ya kijacho wewe[emoji57], ila usimwache bana hizo changamoto huenda ni kwa kipindi hiki cha ujauzito tu akijifungua atakua sawa.
ikishindikana suluhu utoaji wa talaka 3 unataratibu zake pia mkuu kwahiyo nakushauri utafute mtu mwenye elim kdogo akueleweshe jins ya kuzitoa huwa hazitolewi kwa mara mojashukrani sana sana!! ndoa zinachangamoto sana wakati mwingine......sana!
hilo la corona si dogo, halafu tena mtu mwingine akuletee janga lingine!KWELI MWENZETU YAMEKUKUTA,UNADIRIKI KUMPA TARAKA MJAMZITO TENA WAKATI HUU WA MAJANGA YA CORONA
👏👏👏ikishindikana suluhu utoaji wa talaka 3 unataratibu zake pia mkuu kwahiyo nakushauri utafute mtu mwenye elim kdogo akueleweshe jins ya kuzitoa huwa hazitolewi kwa mara moja
Hivyo taufta mtu akupe elim hapa utaweza kukutana na upotoshaji kweny jambo zito
Sent using GunTrigger
unachoogopa kutoa Talaka ni nini? (kuna story nimeiona jana kwenye TV jamaa kawa kipofu halafu mke kawa kiburi mpaka kaenda kwao) akirudi na Mimba jeahsante, hata siogopi malezi lakini🤣🤣🤣🤣
Huo ni ukatili kiongozi, kwanini usimsubiri hadi ajifungue ndipo uchukue hayo maamuzi ya kibinafsihabarini wadau!
moja kwa moja kwenye mada kama ilivyo hapo juu;
mume akihisi imelazimu kutalikiana na mke ambaye ni mjamzito, utaratibu ukoje (ukiwa una ujuzi wa maarifa ya kidini ya Kiislamu itapendeza zaidi)!
ahsanteni!
korona ipo, tufanye alichoagiza mheshimiwa Raisi!
yaani hakuna cha maana kinachojadilika ndani, hata salamu inageuka kuwa ugomvi.unachoogopa kutoa Talaka ni nini? (kuna story nimeiona jana kwenye TV jamaa kawa kipofu halafu mke kawa kiburi mpaka kaenda kwao) akirudi na Mimba je
sasa mtu hulali naye huenda Dr kakwambia huwezi yeye kaja na Mimba ya unayemjua vile wanakusaidia
sizungumzii Dini, ila uhalisia km una uhakika mimba si yako na hujahusika p/se mpe haraka usije lea kiumbe si damu yako