Wadau, ni sahihi kumpa talaka mke mjamzito?

Pole sana mkuu, nakushauri usimuache

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NIMEONA km ni hivyo HAPANA kabisa usimpe Talaka hayo ni mapenzi ya mja mzito (Mama kiacho)
P/se usimpe Talaka hapo anatakiwa aende kwenu au kwao kutokana na Mila zenu
kuna wengine wanakula udongo au kunusa shati lako majasho ya kwapani
Duh pole ngoja waje wadada zetu wazoefu na hata kiDini
cc amu faiza NAKWEDE
 
Kwa dini ya kiislamu huruhusiwi kutoa Talaka kama mwanamke mja mzito.
Inabidi usubiri mpaka azae,mda wote awe ndani ya nyumba anayokaa na uendelee kumhudumia mpaka akizaa,na bado kuna ile miezi ya eddah.Akizaa pia kidini unajukumu kumhudumia mtoto mpaka afike balekh.
Lakini sioni sababu ya wewe kuleta swali kama hili Jamiiforums,Swala la Talaka ki islamu ni swala la ki shariah linahitaji wasomi walio 'specialize' kwenye masuala haya.Kama upo serious,nakushauri uende kwa mamlaka husika ya kiislamu(sio kila sheikh ana mamlaka au knowledge hii) wakupe mwongozi sio hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumtalaki Mke wa ndao ilhali amebeba Ujauzito inawezekana ila inamchukiza mwenyezimgu . Na inamchucha thamani ule Mwanaume au ule Muume asie nasubra au Uvumilivu. Uwe na huruma na hicho kiumbe. Kimeletwa hapa Duniani bila ridhaya yake. Kwa hiyo Busara inahitajika ili kulinda ndoa yako na kulea mimba ulioisababisha.
 
ahsante kiongozi, nitazingatia
 
ahsante sana! umenifungua jambo hapo!
 
What is not prohibited by the law is allowed. Kwa maana hiyo vitabu havijakataza hivyo inaruhusiwa

Emaphakadeni
 
Write your reply...we toa tuu kipi kinakukwamisha mwanaume msimamo


ni sahihi kama uligundua na ikathibitika kiumbe sio chako
 
Mimba ya kwanza?
Inawezekana ni hiyo hali ya mimba inachochea hayo unayoona kama dharau au kero.
Mvumilie tu akishajifungua atakua kawaida.
 
Mnyaazimgu [emoji3][emoji3][emoji3]
Dogo hebu kwanza Uoe uwe na mke halafu utetereke ushuhudie njemba anakubebea mkeo asubuhi anamrejesha
Mara mimba paaaap unaa,biwa ulee. anzia mavazi chakula kusindikiza clinic mpaka kusomesha, ww mimba yako lini atabeba, akikuwa anaoneshwa baba yako sio huyu ila ni yule njagu zamani Mkuu wa kituo cha Polisi Kata (hii nje ya Mada)
Mleta Mada Mkewe ni mapito tu ya uleaji wa Mimba, mara nyingi visumbufu hivyo hutokea, avumilie miezi 9 si mingi atajafurahi
 
haifai,hapo unakuoa unatoa takala kwa watu wawili tofauti,subiri azae na umpe mhusika
 
Mkuu km hakua Ivo before na amekua ivo ktk hali ya ujauzito jitaidi zaidi kumvumilia uyo binti adi ajifungue uone hali itakuaje km hali itaendelea Ivo basi chukua maamuzi yako otherwise mvumilie mkuu… try harder!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa mkuu, hakuwa hivyo hapo mwanzo.....vichangamoto vilikuwa vya kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…