Asalaam alaykum baharia πSheria ya dini ipo hiviii
1.Huruhusiwi kumuowa mwanamke akiwa mjamzito had pale atakapo jifungua ndipo unaruhusiwa kumuowa.
2. Kumpa talaka akiwa na mimba unaweza ila unatakiwa uwajibike kutoa matumizi kwakua kile kiumbe kilichopo tumbon ni damu yako
KUBWA ZAIDI
Talaka ni halali ila inamchukiza sana Mwenyezi Mungu hivyo jaribu kutafuta suluhu au watu wenye elimu ya din wakupe elimu zaidi juu ya talaka ni somo ambalo unatakiwa ukae chin, kwasababu unaweza kufikiri umeacha kumbe bado kisheria hujaacha, au unaweza kufikiri hujaacha kumbe kisheria umeacha.
Sent using GunTrigger
walaykum salaaam!!πππAsalaam alaykum baharia π
πππ Waaleykum salaamAsalaam alaykum baharia π
Kama mimba aliyonayo wewe ndiye baba mvumilie ,na hayo yanavumilika ukizingatia ni mjamzito, kumuacha katika Hali hiyo ni ukatili.yaani hakuna cha maana kinachojadilika ndani, hata salamu inageuka kuwa ugomvi.
mfano, unaweza kurudi kutoka mizunguko saa mbili usiku na kumkuta akipika. unamuuliza kiuungwana tu 'mbona unapika saa hizi kulikuwa na tatizo?'. anajibu 'nilikuwa nacheza tu'! tena anajibu kidharau huku mdomo ameupeleka pembeni.
ukijisahau kidogo kuacha kihela cha matumizi, huyo anatia timu kazini (maana kazini kwenyewe ni karibu tu na nyumbani)