Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Nimekupata Mdau na nashukuru,nitatuma details zangu soon.Wamoro jiunge JF SACCOSS, utupige shule kwenye mambo fulani, kufa kufaana na sisi tutazunguka kwa ajili yako. Penye watu wengi haliharibiki neno. Ukiataka kujinga unaweza tuma sms kwenye simu yangu 0655 447788 kwa kunipa jina lako halisi, namba yako ya simu, sehemu unayoishi eg. dar, dodoma, singida etc na email address. Tuko pamoja tukisikia tetesi za wanaotaka huduma zako tunakupigia simu fasta unaenda kuongea nao.
Wadau kaka na dada zangu salaamu!!nakuja hapa jamvini na kilio cha kuomba msaada wa dhati.kifupi kutokana na hali kubwa ya ujasiliamali nilionayo nilifungua kampuni ya huduma za kitaalamu (consultancy) ikijikita hasa katika huduma za rasilimali watu (human resources),ikijikita katika huduma kuu nne nazo ni consultancy(katika mambo ya hr,finance na banking),training (capacity bulding),recruitment, research (data collection &surveys) na eneo la mwisho ni business development services (bussiness plan write up,proposal write-up,microfinance consultating).kampuni imesajiliwa kihalai na kua na vibali vyote muhimi,nanao wataala wa kutosha na wenye uzoefu mkubwa sana,na pia natumia freelance consultants kutoka sehemu mbalimbali nchini,na wote nimeingia nao mkataba wa kazi.shida yangu:wadau tangu nifungue office hii ni mwaka mmoja na nusu sasa na nimeweza kupata kazi tatu tu (3) tena kutoka kwa mteja mmoja tuu ambaye amalizika sana na kiwango na ubora wa kazi yetu na akatupa kazi zingine mbili tena.zaidi ya huyu mteja mmoja nimeshindwa kabisa kupata wateja wengine na hili hasa limetokana na ukweli kwamba ni kazi kupata mteja sehemu kama hujuani na mtu pale.nimejaribu sana kufanya matangazo na kutuma company profile kwa potential clients wengi sana bila mafanikio.sasa hata hela za kuendesha office zimekwisha na miiezi kadhaa nitatakiwa kulipia pango la office.niko kwenye hali ngumu sana.naomba wadau mnipe mawazo yenu je nita kutumia huduma za kampuni yangu? Je nawezaje kupata partners ambao wana connections na clients mbalimbali nishirikiane nao kwa makubaliano ya kugawana faida ya kila kazi watakayo nisaidia kuipata.naomba kuwasilisha.

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]DahPole sana, sasa kama wewe mwenyewe ndiye mtaalamu wa hayo mambo hadi unaweza kushauri watu, umeshindwa vipi kujishauri nini cha kufanya?
Anyway, hope utapata ushauri hapa.
Tuwasiliane nikupe tipsWadau kaka na dada zangu salaamu!!nakuja hapa jamvini na kilio cha kuomba msaada wa dhati.kifupi kutokana na hali kubwa ya ujasiliamali nilionayo nilifungua kampuni ya huduma za kitaalamu (consultancy) ikijikita hasa katika huduma za rasilimali watu (human resources),ikijikita katika huduma kuu nne nazo ni consultancy(katika mambo ya hr,finance na banking),training (capacity bulding),recruitment, research (data collection &surveys) na eneo la mwisho ni business development services (bussiness plan write up,proposal write-up,microfinance consultating).kampuni imesajiliwa kihalai na kua na vibali vyote muhimi,nanao wataala wa kutosha na wenye uzoefu mkubwa sana,na pia natumia freelance consultants kutoka sehemu mbalimbali nchini,na wote nimeingia nao mkataba wa kazi.shida yangu:wadau tangu nifungue office hii ni mwaka mmoja na nusu sasa na nimeweza kupata kazi tatu tu (3) tena kutoka kwa mteja mmoja tuu ambaye amalizika sana na kiwango na ubora wa kazi yetu na akatupa kazi zingine mbili tena.zaidi ya huyu mteja mmoja nimeshindwa kabisa kupata wateja wengine na hili hasa limetokana na ukweli kwamba ni kazi kupata mteja sehemu kama hujuani na mtu pale.nimejaribu sana kufanya matangazo na kutuma company profile kwa potential clients wengi sana bila mafanikio.sasa hata hela za kuendesha office zimekwisha na miiezi kadhaa nitatakiwa kulipia pango la office.niko kwenye hali ngumu sana.naomba wadau mnipe mawazo yenu je nita kutumia huduma za kampuni yangu? Je nawezaje kupata partners ambao wana connections na clients mbalimbali nishirikiane nao kwa makubaliano ya kugawana faida ya kila kazi watakayo nisaidia kuipata.naomba kuwasilisha.