Wadau nijuze taratibu za kufunga ndoa za kiserikali ( bomani)

Wadau nijuze taratibu za kufunga ndoa za kiserikali ( bomani)

kaitamarogo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2016
Posts
461
Reaction score
495
Kama kichwa Cha habari kilivyo anayejua anaweza kusaidia kutoa briefing
 
1.Barua za utambulisho toka serikali za mitaa kwa wewe na mke/mume wako.
2.Nenda bomani,utaandikisha ndoa.
3.Utapangiwa tarehe ya ndoa.


Gharama zake ni kama TSH 50,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Barua za utambulisho toka serikali za mitaa kwa wewe na mke/mume wako.
2.Nenda bomani,utaandikisha ndoa.
3.Utapangiwa tarehe ya ndoa.


Gharama zake ni kama TSH 50,000/=

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo barua ni kutoka pande zote mbili za ke na me au ni upande mmoja unaoweza kutambulisha?
 
Nincahojua lazima kwanza uwe na mtu wa kufunga nae ndoa. Hilo ndio la muhimu, hayo mengine sijui.
 
Mbona simple tu,nenda wewe na mkeo bomani mtaandikishwa na kupangiwa tarehe ya kurudi pale wilayani,na mtatakiwa kuja na shahidi kila mmoja wenu,mtafungishwa pale na mwanasheria na mtasaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom