kaitamarogo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 461
- 495
Hizo barua ni kutoka pande zote mbili za ke na me au ni upande mmoja unaoweza kutambulisha?1.Barua za utambulisho toka serikali za mitaa kwa wewe na mke/mume wako.
2.Nenda bomani,utaandikisha ndoa.
3.Utapangiwa tarehe ya ndoa.
Gharama zake ni kama TSH 50,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote lazma mtambulishwe kwa maana ya kwamba kila mtu lazima awe na barua yake ya utambulisho wake binafsiHizo barua ni kutoka pande zote mbili za ke na me au ni upande mmoja unaoweza kutambulisha?