Wadau nikomae au niusikilize mwili?

Wadau nikomae au niusikilize mwili?

Nimegombana na mke wangu, ni kama tumekaushiana hapa ndani ila sasa nataka tunda, najua nikiomba sitakataliwa ila itaondoa uzito wa makosa yake na baada ya hapo nitakosa nguvu ya kua mkali. one two one two...
Yani nakula bila shaka na ugomvi unaanza upya au unaendelea tulipoishia kabla ya kula, tunda na ugomvi mbalimbali havina uhusiano! Hiyo ni haki yangu ya kibiolojia na ugomvi solution yake tofauti kabisa!😎😎
 
Nimegombana na mke wangu, ni kama tumekaushiana hapa ndani ila sasa nataka tunda, najua nikiomba sitakataliwa ila itaondoa uzito wa makosa yake na baada ya hapo nitakosa nguvu ya kuwa mkali. one two one two...
Wewe wa hovyo sana, tunda lina uhusiano gani na ugomvi? Kwanzw nyege zikiisha ndo unagombana vizuri. Malizaneni kwanza ndo mtatue ugomvi mkiwa hamna hasira maana hasira haitendi haki.
 
Back
Top Bottom