Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designe

Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designe

Camera Man

Member
Joined
Jan 25, 2025
Posts
7
Reaction score
3
Wadau nilikuwa naomba kazi nina kipaji cha upigaji picha na kushoot video lakini pia ninajua graphic designer

Lakini pia nanvyo vifaa vyangu mwenyewe tayari kwa kazi Nina camera, na vifaa vyengine vya kupiga picha na kushoot video na pia nina vifaa vya kuedit picha na video pamoja na graphic designer yani Computer n.k yani nipo full kwa kazi mda wowote saa yoyote.

Kama kuna kampuni inahitaji mpiga picha na mchukua video ikiwemo na graphic designer kwenye kazi mbalimbali za kampuni kadri itakavyo itajika naweza kufanya kwa uaminifu na nidhamu ya hali ya juu msaada tafadhali wa kazi.

Umri: 24 years
jinsia: wakiume
makazi: Dar es Salaam,
mawasiliano: 0653498435
 
Lakini pia nanvyo vifaa vyangu mwenyewe tayari kwa kazi Nina camera, na vifaa vyengine vya kupiga picha na kushoot video na pia nina vifaa vya kuedit picha na video pamoja na graphic designer yani Computer n.k yani nipo full kwa kazi mda wowote.
Wakuu wana jamii forums, naomba ruhusa yenu ya kumtukana huyu mtu.

Kwa ruhusa ya wana JamiiForums, napenda kusema wewe ni mpumbavu na asitokee mwana JamiiForums yeyote wa kukupa kazi.
 
Nadhani anaomba tenda jamani msimtukane.
Wenye Shughuli za harusi, vipaimara, nk.
 
Wewe ni mtu wa maana.
Weka kazi zako na unaelimu gani.
CV yako haijakaa sawa, iko kiswahili sana.
Mkuu hii ni sanaa kama ilivyo mpira, mziki nk huwa elimu sio kipaumbele kwenye kazi za video shooting na director ila nina elimu ya kidato cha nne mimi ni kijana wa kawaida tu miaka 24
 
Wakuu wana jamii forums, naomba ruhusa yenu ya kumtukana huyu mtu.

Kwa ruhusa ya wana JamiiForums, napenda kusema wewe ni mpumbavu na asitokee mwana JamiiForums yeyote wa kukupa kazi.
ila hili suala la kutukanana hadharani kama hivi bila hata sababu sio jambo zuri kwa kweli na linaweza kukuonesha kwa watu kwa picha mbaya
 
IMG_20250306_101412_812.jpg
 
Kama vifaa unavyo mkuu, jitangaze upewe tenda.
Kina dada ndio wateja wenu wakubwa wa mapichapicha
 
Back
Top Bottom