Wadau nimekuja Mbeya 1 time, nisaidieni kujuzwa kiwanja kizuri

Wadau nimekuja Mbeya 1 time, nisaidieni kujuzwa kiwanja kizuri

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
118
Reaction score
27
Wadau nimekuja mbeya 1 time, nisaidieni kujuzwa kiwanja kizuri cha kuparty na kuruka majoka, ambacho kinajaza.

Natanguliza ahsante!
 
Nenda mama john pale kuna kitu flan cha dizayn yake
 
Aisee mbeya huwa napakumbuka pale Nkwazulu..Terminal stand kwa juu..

Kwakweli long time sana ..
 
Nenda mafiati mkuu ukapate kitu roho inapenda!
 
Angalia Mbeya mtu ni rasilimali muhimu, unaweza tolewa ulimi,nywele,macho n.k

Sinaga ujanja wa kutembea Mbeya pamoja na kwamba ndo home
 
Ukikosa nenda kanisani. Huku makanisa hayafungwi 24/7
 
Back
Top Bottom